MAHAFARI YA KIDATO CH SITA NSUMBA SHULE.YA SEKONDARY

Ndoto yangi ya kuachana na elimu ya viboko yaani Sekondari ilikoma mara baada ya kukabidhiwa mfano wa chati chagu cha elimu ya upili wa Juu na mkuu wangu wa shule 

Sherehe iliyofanyika tarehe 19/04/2018 katika viwanja vya shule ya sekondary nsumba ambapo walimu,wazazi na wanafunzi walikutana kushiriki furaha ya miaka miwili ya watoto wao ya kimasomo shuleni hapo,

 Sherehe hiyo ilihudhuriwa na meneja wa Benk  NMB  (National Microfinancial Bank) KENYATA ROAD.

Katika tafrija hiyo iliambatana na michezo mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wnye vipaji. pia mwalimu mkuu alitoa historia fupi ya shule hiyo kuonesha kuwa imeanza mda mrefu sana yaani miakaya 1951.

Aliongeza kwa  kuwahisi wanafinzi wahitimu kuwa na mipango mingi ya kimaisha hasahasa kujiajiri kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mtaani ma kupelekea kuongezeka kwa uharifi. Aidha amewapa moyo wazazi kuwa kutokana na matokeo ya mitihani yao miwili ya.kujipima GAUGING NA MOCK kuna uwezekano mkubw wa kupata katokeo na ufahuru mzuri.

na mwisho mwenyekiti wa mahafari alifunga sherehe kuwaruhusu wanafubzi kukutana na wazazi wao kupokea nasaha ya wazazi kabla ya mtihani wa mwisho.

Comments

Popular posts from this blog

Amazing Class Tour