Posts

Showing posts from May, 2021

Ijue Bodi Ya Maji Bonde la Ziwa Victoria

Image
Bonde la ziwa Victoria ni eneo ambalo mtiririko wake wa maji unaishia katika ziwa Victoria,   Wanafunzi wa Mawasiliano ya Uma kutoka SAUT katika picha ya pamoja na PRO wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria  Engr. Gerald Itimbula 📸 SR Janeth Bonde hili linafuata mipaka ya kihydrojia ( Mtiririko wa maji). Bonde la ziwa Victoria linagusa Mikoa sita ya Tanzania    ambayo ni Kagera, Geiter, Mwanza, Simiyu, Arusha ( Ngorongoro/ ngorongoro creta) Shinyanga ( Kishapu na Shinyanga Vijijini) pamoja na Mkoa wa Tabora ( Wilaya ya Nzega).  haya yaliundwa na serikali kwa ajili ya kurahisisha usimamizi wa rasilimali maji. na pia kutokana na kuwepo kwa utamaduni tofauti wa njia za utunzaji wa maji katika baadhi ya maeneo hivyo njia rahisi ilikua ni kuyagawa katika mabonde na kuachana na kusimamia kwa mifumo wa kiutawala. Chombo kinachosimamia Bonde kinaitwa Bodi. Nchini Tanzania kuna Mabonde Tisa (9) na Bodi Tisa za kusimamia, Bodi hizi zipo chini ya idara ya Maj...