Posts

Showing posts from April, 2018

MAHAFARI YA KIDATO CH SITA NSUMBA SHULE.YA SEKONDARY

Image
Ndoto yangi ya kuachana na elimu ya viboko yaani Sekondari ilikoma mara baada ya kukabidhiwa mfano wa chati chagu cha elimu ya upili wa Juu na mkuu wangu wa shule   Sherehe iliyofanyika tarehe 19/04/2018 katika viwanja vya shule ya sekondary nsumba ambapo walimu,wazazi na wanafunzi walikutana kushiriki furaha ya miaka miwili ya watoto wao ya kimasomo shuleni hapo,  Sherehe hiyo ilihudhuriwa na meneja wa  Benk  NMB  (National M icrofinancial Bank)   KENYATA ROAD. Katika tafrija hiyo iliambatana na michezo mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wnye vipaji. pia mwalimu mkuu alitoa historia fupi ya shule hiyo kuonesha kuwa imeanza mda mrefu sana yaani miakaya 1951. Aliongeza kwa  kuwahisi wanafinzi wahitimu kuwa na mipango mingi ya kimaisha hasahasa kujiajiri kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mtaani ma kupelekea kuongezeka kwa uharifi. Aidha amewapa moyo wazazi kuwa kutokana na matokeo ya mitihani yao miwili ya.kujipima GAUGIN...