NAPENDA FAMILIA

Mwaka 2024 ni mwaka ambao utabaki kama kumbukumbu katika maisha yangu. Nilikaa chini peke yangu na kuiambia nafsi yangu kuwa ni muda wa kuwa na familia na kuanza malezi. Mnamo tarehe 26/03/2024 nilichukua jiko na kumtambulisha Yusta Dionizi kama kipenzi cha maisha yangu. Mungu akatujalia bila kuchelewe miezi 10 baade, ambayo ni tarehe 29/12/2024, nikampata mtoto wangu wa kwanza Grace Adrian Hakika nimeonja gharama za kulea familia, na kweli sio utani, kuwa mzazi ni gharama, Inabidi utoe jasho ili familia, ile, inywe na kuvaa pia na kudumisha familia nyumbani Powered by Adrian Blog